Michezo
Yanga ni Darasa la mpira Tanzania – Farhan Kihamu

“Mahusiano kati ya Yanga na vilabu ndio ambayo yamewapa mualiko Afrika Kusini, mahusiano ya Yanga na mawakala ndio ambayo yanawapa wachezaji bora kila wakati, mahusiano kati ya Yanga na vilabu pia ndio haya unaona wanasajili na hakuna kelele”
“Kwa misimu mitatu Yanga imefanya pre season yao Avic town na imewapa makombe ya Ligi , FA na fainali ya Shirikisho [ CAFCC] lakini sasa wamesogea Afrika Kusini kwa sababu ya mualiko hii inazidi kuwajenga “
“Yanga ni darasa la mpira wa Tanzania , machaguo ni mawili tu aidha uhamasike au uchukie”