Yanga tupo tayari kwa Derby yetu na Simba – Hassan Bumbuli (+Video)

Klabu ya Yanga imesema kuwa ipo tayari kwa mchezo wao wa Derby wakiwa wageni dhidi ya mwenyeji na mtani wake Simba SC Septemba 25, 2021 katika uwanja wa Mkapa.

Akiongea na Waandishi wa habari, Hassan Bumbuli amesema kuwa mchezo huo ndiyo utakuwa mwanzo wao wa kuchukua mataji waliyokusudia msimu huu kwa kuanza na Ngao ya Jamii.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button