Yanga wamfanyia ‘Maombi’ Haji Manara, akabidhiwa rasmi ofisi (+Video)

Aliyekuwa Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara hii leo amekabidhiwa rasmi ofisi kutoka kwa waajiri wake wapya timu ya Wananchi Young Africans Sports Club. Mara baada ya kuwasili makao makuu ya klabu hiyo alipokewa na baadhi ya wanachama wakiwemo wazee na kufamnyiwa ‘Dua’ kabla ya kutembezwa kwenye ofisi mbalimbali zilizopo kwenye jengo hilo na kuonyeshwa mazingira.

Related Articles

Back to top button