Michezo

Yanga wamtambulisha Rais wa maji

CONFIRMED: Mabingwa wa nchi, Young Africans wamethibitisha usajili wa beki wa kushoto Chadrack Issaka Boka kutoka FC Saint Eloi Lupopo ya nchini DR Congo.

 

Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye ni mzaliwa wa Kinshasa nchini DR Congo, anakwenda kuimarisha eneo la ulinzi upande wa kushoto akisaidiana na Nickson Clement Kibabage.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents