Yanga wanauliza: Sisi na wao lini ?

Wakati joto la mchezo wa watani wa jadi @yangasc na @simbasctanzania likizidi kuongezeka.


Mabingwa wa Kihistoria hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara #yangasc wameonekana kama vile kutupa dongo gizani kwa Mtani wao #simbasc baada ya kuandika

“Beki kisiki Abdalla Shaibu akipata darasa kidogo, Hivi sisi na wao lini.”- @yangasc

Watani hawa wawili katika mechi zao za mwisho walizoshiriki katika Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam inaweza kuonyesha kwa kiasi fulani kile ambacho watakifanya Benjamin Mkapa Mei 8, ingawa wawili hawa matokeo yao hayatabirki pale wanapokutana.

Related Articles

Back to top button