HabariMichezo

Yanga watangaza kuachana na kocha wao Nabi

Kupitia mitandao yao ya Kijamii, Uongozi wa Yanga umethibitisha kumalizana na aliyekuwa Kocha wao mkuu Nasreddine Nabi . Yanga ipo kwenye mchakato wa haraka wa kutafuta Kocha mpya atakayekuja kubeba mikoba ya Nabi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents