Klabu ya @yangasc imetangaza mdhamini wake mpya Kampuni ya Haier kwa Mkataba wa shilingi Bilioni 1.5 wa msimu mmoja kwa kipindi chote ambacho @yangasc watakuwa kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Hata hivyo timu hiyo ya Wananchi imezindua jezi zake mpya kwaajili ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika huku uzi huo ukitangazwa kuuzwa kwa shilingi Elfu 50.