Yanga watolewa Mapinduzi Cup na Azam FC

Mabingwa watetezi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Young Africans wamevuliwa Ubingwa na Wanalambalamba Azam FC kwa njia ya mikwaju 9 kwa 8.

Yassin Mustapha akikosa penati na kuwazawadia Azam FC ubingwa baada ya penati ya mwisho ya Mudathir Yahya kuingia kimyani

Related Articles

Back to top button