
….✍️Anaandika @fumo255
Yanga yakaa juu ya Mamelodi na Raja….
Takwimu za viwango kwa ngazi ya Klabu Barani Afrika kuanzia mwezi Septemba 2022 hadi Oktoba 2023
1. Al Ahly @alahly ( points 244 )
2. Wydad Casablanca @wacofficiel ( points 153 )
3. Pyramids @pyramidsfc ( points 149 )
4. Yanga sc @yangasc ( points 141 )
5. Mamelodi Sundowns @sundownsfc ( points 127 )
6. Raja Casablanca @rcaofficiel ( points 124 )
7. Far rabat @asfar_officiel ( points 118 )
8. Belouizdad @chabab.riadhi.belouizdad ( points 115 )
9. Zamalek @zscofficial ( points 113 )
10. Esperance Tunis @esperance_sportive_detunis ( points 112 )
Kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS)
UKIBISHA njoo na takwimu zako 🤪🤪🤪