Michezo

Yanga yachezea kichapo cha goli 2 – 1 mbele ya Coastal Union Mkwakwani

Historia imeandikwa katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga, #yangasc Wanapoteza hapa mbele ya Coastal Union kwa jumla ya magoli 2 – 1. Kwa mara ya kwanza #Wananchi wanapoteza mchezo wa #vpl . Yanga haijawahi kupata alama tatu ndani ya dimba la Mkwakwani kwa takribani miaka mitano.

IMEANDIKWA NA Hamza Fumo, Instagram @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents