Yanga yakanusha taarifa za kuandaa maandamano

Uongozi wa Klabu ya Yanga unakanusha taarifa za kuandaa maandamano ambazo zimetolewa na kusambazwa kwenye mitandao ya Kijamii.

Uongozi unawataka Wanachama, Wapenzi na Mashabiki kupuuza taarifa hiyo na kuwataka kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho uongozi unaendelea kufanya jitihada za kushukhulikia masuala yote yanayoihusu Klabu kwa Misingi na Taratibu zilizowekwa kisheria.

Aidha uongozi unaviomba vyombo vya ulinzi na usalama kulishukhuliki taarifa hizi potofu kwa mujibu wa sheria.

Related Articles

Back to top button