Michezo

Zaidi ya MILIONI 80 zawekwa kwenye shindano la Pooltable

ZAIDI YA MILIONI 80 ZAWEKWA KWENYE SHINDANO LA POOLTABLE

Leo tarehe 05/08/2025 Klabu ya Cue

Master Billiard Center kwa kushirikiana na

Cue sports Bar&Lounge kinawatangazia

mashindano ya Mchezo wa Pooltable Afrika yatakayofanyika hapa katika Klabu ya Cue Masters Billiards iliyopo Manzese Argentina jijini Dar Es Salaam,Shindano litahusisha Vilabu na mchezaji mmoja mmoja kwa Wanaume na Wanawake kutoka Mataifa 10 ya Afrika.

Akizungumza Mkurugenzi wa Cue Master,

Timar Mtengo alisema mashindano hayo

yanatarajiwa kuanza tarehe 08/08/2025 na

kumalizika tarehe 11/08/2025 hapa hapa

katika Klabu ya Cue Master Billiards Center

Mtengo alizitaja Nchi zilizothibitisha

kushiriki ni Afrika Kusini, Zambia, Malawi,

Kenya, Uganda,Zimbabwe, Sudani

kusini,Eswetin,Botswana na Wenyeji

Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents