Michezo
Zaka za Kazi amjibu Ali Kamwe kisa Kashfa ya kuwa shabiki wa Yanga

ZAKA ZA KAZI AMJIBU ALI KAMWE AMJIA JUU ALI KAMWE KISA PICHA YAKE
Meneja wa Habari na mawasiliana wa klabu ya Azam Zaka za Kazi amemjia juu Ali Kamwe mara baada ya kuweka mtandaoni picha iliyosadikika kuwa ni Zaka za Kazi akiwa na Ali Kamwe kwenye uwanja wakiishabikia Yanga
Imeandaliwa na @witnessflavian24 na @johnbosco_mbanga




