Michezo
Zaka za Kazi atupa dongo zito kwa Ali Kamwe

ROHO ILIKUWA INATUUMA KILA SIKU YANGA NDIO ANAMFUNGA SIMBA
Afisa Habari wa klabu ya Azam Hasheem Ibwe ametoa la moyoni mara baada ya ushindi wa leo dhidi ya klabu ya Simba.
Kuangalia video kamili tembele kurasa wa Youtube Bongofive
Imeandaliwa na @witnessflavian24 na @johnbosco_mbanga




