BurudaniHabari

Zari: Gigy Money alikuwa mchafu sana

@mwijaku na @jumalokole20 wamekuwa wakirushiana maneno mitandaoni kila mmoja akimponda mwenzake.

@jumalokole20 alianza kumkosoa @mwijaku baada ya kudai @kajalafrida alikosea kuvaa mavazi yasiyokuwa na maadili mbele ya viongozi wa Serikali.

Mwijaku naye hakunyamaza aliongea ya kwake kuhusu Lokole.

Mbali na hilo Zari amem-DM Gigy Money na kumwambia alikuwa mchafu sana.

Zari Aliandika Hivi “Umekatiza kwenye fikra zangu leo. Yani wakati nina mimba ya Tiffa ulikua unaonekana mchafu. Kama vile hukuwa unaoga sijui kama unakaaga wapi? Baada ya miaka umesafisha muonekano wako, brand yako. Umekua msafi na boss, unaonekana kuwajibika zaidi na wa viwango.
Visa vimepungua, kabla ulikua na visa vya staili ya wanaoishi ghetto. Sasa inaonekana kama unachagua visa vyako kwa umakini.
Nimetaka kukuambia endelea kuwa boss Inakupendezea. Napenda kuona dada akionekana kufanya vizuri.

Ni fikra zangu tu za hapa na pale. Hata hivyo sijakutoa makosa nimekusifia”.

Gigy Akajibu Ahsante Zari!!

Kupitia #recapnamando @el_mando_tz amedadavua kwa urefu kabisa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents