Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Zari asema mahari yake ilikuwa kitabu cha Quran

Tayari Zari the Boss Lady @zarithebosslady ametua Bongo kuelekea show atakayo-host usiku wa leo pale Elements ya ‘Bad and Boujee’ ambapo baada ya kutua amefunguka yanayomuhusu ikiwemo ndoa yake aliyofunga hivi karibuni na Mumewe Raia wa Uganda pamoja na yale yanayoendelea kupitia reality show yao ya Young, Famous & African.

Zari amesema Mumewe hakumlipia mahari zaidi ya kumpatia Quran na kuhusu harusi amedai atafanya party ya kifahari ambayo Watu wataiona.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents