Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Zari na mume wake watua Tanzania
Siku ya leo Zari na mume wake wametua Tanzania kwa ajili ya shughuli zao, Zari anasema kuwa yeye hakuwa na wivu na @iamfantana bali shida yake ilikuwa ni baba watoto wake ambaye ni @diamondplatnumz
Kwahiyo ugomvi wote shida ilikuwa hiyo.