
Zaylisah ameeleza kwa urefu sababu za kumkubali @hajismanara kuwa mpenzi wake licha ya kuona mambo ya @hajismanara kuhusu kuachana na wake zake.
Zaylisah anasema kuwa yeye hapendi kuzini na ndio maana anaitaka Ndoa. Mbali na hilo @zaiylissa amegoma kabisa kuzungumza lolote linalomhusu aliyekuwa mume wake @dullamakabila
Lakini @zaiylissa amesema dada yake na @dullamakabila @amina_vikoba ni rafiki yake na ni kama Dada yake.