FahamuHabariTechnology
Zifahamu nchi 15 barani Afrika zenye Mtandao wenye kasi ya 5G

Baada ya mtandao wa Vodacom nchini Tanzania kuzindua Mtandao wa 5G nchini Tanzania, imeifanya nchi ya Tanzania kuungana na nchi zingine 14 na kufanya orodha ya mataifa 15 tu kati ya mataifa 54 yanayounda bara hili zinzotumia mtandao wenye uwezop wa 5G baada ya kutoka kwenye 4G.
Yafahamu mataifa hayo 15 yenye mtandao wenye uwezo wa 5G.
- Botswana
- Egypt
- Ethiopia
- Gabon
- Kenya
- Lesotho
- Madagascar
- Mauritius
- Nigeria
- Senegal
- Seychelles
- South Africa
- Tanzania
- Uganda
- Zimbabwe