Michezo

Zitto Kabwe ataka Yanga ishushwe daraja

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Shabiki lialia wa Klabu ya Simba, Zitto Zuberi Kabwe ameitaka Klabu ya Yanga kushushwa daraja kwa madai ya kuwa inaidhalilisha nchi.


Zitto ameweka kauli yake hiyo kwenye mtandao wake wa Twitter baada Shirikisho la Mpira wa Mguu (TFF) kutoa taarifa ya kuwa Tanzania imepigwa onyo kutokana na kuripotiwa kwa matukio mbalimbali haswa kunapokuwa michezo ya kimataifa pamoja na Vipimo vya Covid 19.

Zitto ametaka Yanga Ishushwe Daraja na ispande tena kama timu ya Pani, huku akihoji kwa nini nchi ipigwe onyo kwa sababu ya Yanga

 

Related Articles

Back to top button