Habari

Zitto Kabwe awatumia salamu za vitisho CCM ‘Kwenye uchaguzi wa haki, Nyie ni wepesi kama makaratasi’ (+video)

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto Kabwe amekitaka chama tawala CCM kuacha kutumia mabavu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kusisitiza kuwa wawe wapole na watumie sheria za uchaguzi ili uchaguzi huo uwe huru na wa haki.

Zitto ameongea hayo leo Jumapili Julai 28, 2019 wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la chama hicho, Vingunguti Jijini Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents