Zitto Kabwe azungumza na wana habari kufuatia kifo cha kiongozi wa ACT Wazalendo Maalim Seif (+ Video)

Kiongozi huyo wa Chama cha ACT Wazalendo amabcho Maalim Seif alikuwa akikitumikia ameelza ni kwa namna gani Maalim Seif alivyokuwa muhimu katika chama hicho na pia katika Siasa za Kitanznaia.

Zitto pia ameeleza kuhusu suala la mazishi na kueleza kuwa kuhusu katika suala zima la mazishi wao watatoa muongozo kwani Maalim Seif alikuwa kiongozi wa Serikali hivyo muongozo kamili kuhusu Mazishi na mambo mengine Serikali itaeleza.

Related Articles

Back to top button
Close