Zola D na Mb Dogo kufunika Ujerumani 2012

zola

Mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Zola D, amesema kwa sasa ameungana na kampuni ya TIZO International, kwaajili ya kuusambaza mziki wa Bongo Fleva nchini Ujerumani. Mwanamuziki huyo amesema mpango mzima umesimamiwa na mwanadadaanayeishi nchini humo Tina Zobel, ambaye kwa pamoja wamepanga kuwa mapromota wa kuchukua wasanii ndani ya nchi na kupeleka nje, na pia kutoa wasanii nje ya nchi kuwaleta ndani.

Tina amesema kwamba lengo lao ni kuuwinua muziki huu nje na ndani ya Afrika. Zola amesema kwa sasa wanamikakati, ya kuanza safari yao ya kwanza, kwaajili ya kuandaa mazingira ya kufanya wasanii wengine wapite, kwakuwa yeye atakuwa tayari ameshasafisha njia ambayo wengine waje kupita, na kuweka mazingira mazuri ya tamasha yatakayofuatia baada ya yeye na Mb Dog.

Pia Tina ambaye raia wa Ujerumani lakini akiwa mzawa ‘Amezaliwa’ Kenya, amesema atafungua ofisi nchini Kenya na Tanzania, ambapo zitaanza kufanya kazi muda si mrefu, wakati Ujerumani tayari kampuni hiyo inafanya kazi.

Ratiba ya Zola na Mb Dog

  

Welcome to TIZO International Promotions 

 

Coming soon: 

03.03.2012   Stuttgart     Welcome Music Event with MB Dogg & Zola D King

10.03.2012   Stuttgart     MB Dogg & Zola D King
                                         Europe Tour from Coast to Alpes              

17.03.2012   Frankfurt    MB Dogg & Zola D King
                                         Europe Tour from Coast to Alpes     

24.03.2011   Mannheim  MB Dogg & Zola D King
                                         Europe Tour from Coast to Alpes

31.03.2012   Bremen       MB Dogg & Zola D King
                                         Europe Tour from Coast to Alpes

07.04.2012   Hamburg     MB Dogg & Zola D King
                                          Europe Tour from Coast to Alpes

14.04.2012   Berlin          MB Dogg & Zola D King
                                         Europe Tour from Coast to Alpes

…                  Zürich          MB Dogg & Zola D King
                                         Europe Tour from Coast to Alpes

…                  Wien            MB Dogg & Zola D King
                                          Europe Tour from Coast to Alpes

12.05.2012  Stuttgart       Farewell Music Event with MB Dogg & Zola D King

  

Tina

Tina Zobel
CEO

 Impressum:

TIZO International Promotions

Keplerstrasse 8

74321 Bietigheim-Bissingen

Germany

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button