BurudaniHabariVideos

Zuchu alivyokutana na mashabiki Mlimani City na kumwaga zawadi (Video)

Zuchu alivyomjaza hela kijana aliyekutana naye Mlimani City katika duka la @infinixmobiletz , atoa zawadi

Msanii wa muziki @officialzuchu Jumamosi hii alifika Mlimani City jijini Dar Es Salaam na kukutana shabiki yake ambaye alionyesha uwezo mkubwa wakuimba na kumjaza manoti.

Balozi huyo wa @infinixmobiletz alitembelea Mlimani City kwaajili ya kutoa zawadi ndani ya duka hilo la simu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents