Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Zuchu ashambuliwa na mashabiki mtandaoni
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu amejibishana na mashabiki zake mtandaoni baada ya kushauriwa abadili stylist.
@officialzuchu amewaonya mashabiki wake na kuweka wazi kuwa hawezi kusikiliza ushauri wao.
Mashabiki wengi wamemwambia @officialzuchu abadili uvaaji wake maana ameshakuwa msanii mkubwa hivyo aendane na jina lake.