Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Zuchu: Diamond shujaa wangu nampenda nampenda sana
Chozi lake limekuwa na baraka kubwa kwenye career yake kwani siku ya Ijumaa alikuwa na Show Houston Marekani na show ile ilikosa watu.
Kupitia Insta Story yake @officialzuchu alieleza namna alivyomwaga machozi baada ya show yake kubuma.
Lakini kama wanavyosema Mungu humpa mtu muda anaoutaka @officialzuchu hakujua kama jioni angeenda kubeba tuzo ya AFRMMA.
Chozi lake liligeuka baraka baada ya kubeba tuzo hiyo na usiku wa Tuzo @officialzuchu alieleza namna alivyoumia baada ya show yake kubuma.
Zuchu aliongeaza kuwa Diamond ni shujaa wake na anampenda sana