Mwanadada kutoka nchini Kenya anayefananishwa na msanii wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB @officialzuchu
Mwanadada huyo anatumia jina la Zuchu wa Kenya kwenye mtandao wa TikTok na amekuwa akifanya Challenge za nyimbo za Zuchu huku wengine wakishindwa kumtofautisha na Zuchu wa ukweli.
Mbaya zaidi huvaa namna anavyovaa Zuchu hata nywele zake husika kama anavyosuka Zuuchu vile vile.
Wengi wao huwa wanamtumia Meseji wakimwambia amtafyte Zuchu huenda ni ndugu na wengine wakihisi labda Zuchu ameamua kuwachezea akili mashabiki zake.
Kwa upande wako unaonaje?? Anafanana kweli na @officialzuchu au wanazengo wameamua tu kumpa ujiko. Hebu muiteni @officialzuchu aje tumuulize huyu ni mdogo wake?? Dada yake au ni YEYE in TID Voice