BurudaniHabari

Zuchu, Mbosso na Lava lava watua Bungeni

Baadhi ya wasanii wa kundi la muziki la WCB wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge jijini Dodoma, kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano. @officialzuchu @iamlavalava @mbosso_

Wasanii hao wakionekana kufuatilia kwa makini Kikao cha 58 cha Bunge la 12 Leo Bungeni Dodoma. Baadaye  watajumuika na Wabunge kwenye Hafla Maalum.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents