Burudani
Bambo afunguka chanzo cha kumchukia Diamond “anaroho mbaya”
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/05/Screenshot-2024-05-17-at-20.50.19.png)
Licha ya maneno yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kufuatia Mchekeshaji @bambocomedian kuonekana kutomkubali msanii Diamondplatnumz Bambo amefunguka kuhusu chanzo cha kumchukia msanii huyo ya kwamba Diamond aliwatuma wasaidizi wake wawashushe yeye na mchekeshaji Mtanga kwenye shughuli za Mwenge Mbele ya Mh Waziri
Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255 Camera man @Johnbosco_mbanga