Burudani

Diamond anatakiwa atoe Ng’ombe 500 – Eric Omondi (Video)

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi ametua nchini kwa ajili ya uzinduzi wa Reality Show ya Gigy Money.

Baada ya kutua amepigwa maswali na wana habari na kueleza kuwa Kenya wanataka Diamond atoe mahari ya Ng’ombe 500 kwa ajili ya kumuoa Tanasha Dona.

Video nzima ipo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5.

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B..V

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents