Burudani
Dj Sweet Lady aamsha Popo kwa Shangwe zaidi (Video)
Utapenda moto wa DJ Sweet akiwa kwenye kazi yake
DJ @dj_sweetlady ameendelea kukua siku hadi siku kutokana na dili nyingi ambazo anapata kila kukicha ambapo usiku wa leo atakuwa huko Mafia mkesha wa Mwenge.
Kuangalia Video kamili bonyeza link hapa chini:
https://www.instagram.com/reel/C6snUnZN5q1/?
Imeandikwa na Mbanga B.