Burudani

Kilichomkuta Kapteni wa Filamu ya Titanic

Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Bernard Hill ambaye alitambulika zaidi kupitia filamu ya Titanic amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79.

Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na wakala wake Lou Coulson kupitia ukurasa wake wa Instagram huku sababu ya kifo chake ikiwa haijawekwa wazi.

Hill alicheza uhusika wa Kapteni katika filamu ya Titanic akitambulika kwa jina la “Kapten Edward Smith”

 

Bernard Hill alizaliwa Desemba 17, 1944 Blackley Manchester Uingereza na alipata umaarufu kupitia filamu kama “ParaNorman”, The Kid”, The Lord of the Rings, The Return of the King”, Titanic, The Scorpion King” na nyinginezo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents