Michezo

Manula kutimkia Singida Black Stars

Kuelekea msimu ujao wa Ligi inasemekana huenda mlinda mlango wa sasa wa klabu ya Simba Aishi Manula akajiunga na Klabu ya Singida Black Stars (Ihefu) katika dirisha kubwa la Usajili.

Manula amekuwa nje ya kikosi cha Simba kwa muda mrefu akisumbuliwa na majeraha huku Golikipa Ayoub Lakred na Ally Salim wakiziba vyema pengo lake.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents