Habari
Rais Samia Suluhu ampa zawadi IGP Wambura
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 24, 2024 amemtunuku nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.
Imeandikwa na Mbanga B.