Burudani

RECAP: Harmonize & Rayvanny Collabo isipofunika Tetema na Single again wamefeli (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_manso_tz amezumgumzia ujio wa Collabo ya Harmonize na Rayvanny.

Anasema kuwa kuna mawili kwenye Collabo yao aidha iweke Historia au Ibume kabisa kutokana na ukubwa wao yaani Rayvanny na Harmonize.

@el_mando_tz anaongeza kuwa Collabo yao wanafanya baada ya kupitia miaka mitano (5) ambapo walitoa Paranawe wakiwa WCB wote.

Anaongeza kuwa Collabo hii ijqyo wameifanya kwa muda sasa kwani kwa sasa wote ni wasanii wakubwa Afrika Mashariki na wamekuwa kibiashara na Kibrand.

Anasema Endapo wasipovuka mafanikio ya SINGLE AGIN na TETEMA ngoma zao pekee zenye mafainikio makubwa itakuwa hawajapiga hatu yoyote.

Kama watavuka mafainikio ya ngoma hizo basi watakuwa wamefanikiwa kwenye collabo yao ambayo Imesubiriwa kwa muda mrefu.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents