Burudani

RECAP: AY awaacha watu na maswali mengi kwa hiki (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungukzia ngoma mpya ya Marioo na AY YULE REMIX.

@el_mando_tz anasema Mkongwe AY amempa heshima kubwa sana Marioo kwani Yule ni moja ya ngoma bora kabisa ya AY lakini amemmpa heshima kubwa sana.

Collabo hiyo aliyopewa inawapa maswali makubwa sana Kizazi kipya kwani lazima wajiulize swali moja tu.

Wasanii wa kizazi kipya inaonekana wanaupenda sana muziki wa zamani na bado unaishi mpaka sasa hivi, Je kwanini muziki wao haudumu??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents