Habari
Mrisho Mpoto aeleza sababu za kutomtungia Mzee Mengi wimbo maalum wa kumuaga kama ilivyozoeleka kwenye misiba mingine (+Video)
Msanii wa muziki wa kughani, Mrisho Mpoto amefunga sababu za yeye kutomtungia wimbo wa kumuaga Mzee Mengi kama ilivyozoeleka kwenye misiba mingine mikubwa.