Burudani
RECAP: S2kizzy kuzinguana na Abbah, ukweli juu ya Producer bora Tz (Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/05/Screen-Shot-2024-05-06-at-10.24.17.png)
Bongofive kupitia kwenye kipindi Chake cha RECAP & MANDO el_mando_tz amezungumzia kinachoendelea kati ya Maproducer S2kizzy na Abbah.
Anasema ni kweli kuwa wote ni Maproducer wakali ila wanatofautiana kwa ubora na hata kwa utengènêzaji wa hits Songs.
Msikilize el_mando_tz Kisha toa maoni yak kuhusu anachozungumza.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya BongoFive.
Host:el_mando_tz
Cameraman:Samirkakaa
Imeandikwa na Mbanga B.