Bongo5 ExclusivesBurudaniEvents
Mashabiki wafurika kwa Shallipopi (Video)
Tazama balaa la @theycallmeshallipopi nyota wa muziki kutoka Nigeria alivyokiwasha kwenye show kubwa ya Twelve Forty Five Outside – 1245 Outside huku mashabiki wakionekana kuvutiwa na utumbuizaji wa mkali huyo
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5