Habari

Ajali ya ndege mkoani Tabora yasababisha vifo vya watu wawili

Ajali ya ndege Tabora na yasababisha vifo vya watu wawili

Ajali ya ndege imetokea mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu wawili ambao ni rubani wa ndege hiyo na abiria wake.

Watu hao ni raia wa Afrika Kusini na walikuwa wakielekea nchini Malawi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents