Habari

Baba wa mwanafunzi aliyepotea, Abdul Nondo anena mazito ‘alituambia anafuatiliwa’ (Video)

Baba mdogo wa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) na Kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania aliyepotea usiku wa kuamkia leo, Abdul Nondo amesema kuwa mtoto wake alishawahi kuwambia kuwa anapewa vitisho na kuna watu wanamfuatilia lakini hawakujua kama ingefikia hatua kama hii ya kupotea.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumatano Machi 07, 2018, Baba mdogo huyo aliyejitambulisha kwa jina Mussa Mitumba amesema waliomkamata wamuachie kwani mama yake mzazi anaumwa presha na hata mwenyewe anandoto zake za kumaliza masomo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents