Burudani
Bambo afunguka ukaribu wake na Harmonize akiri kupewa vibunda
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2024/05/Screenshot-2024-05-17-at-20.45.43.png)
Katika mazungumzo na Bongo5 tv Mchekeshaji @bambocomedian amefunguka kuhusu ukaribu wake na msanii wa muziki @harmonize_tz kwamba msanii huyo anaroho ya kibinadamu na mara nyingi hupewa Vibunda kutoka kwa msanii huyo
Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255 Camera man @Johnbosco_mbanga