Michezo

CEO wa Simba akubali yaishe

Kwa mujibu wa chanzo changu makini ndani ya Simba kilifanyika kikao kizito kutathimini mikakati na mwenendo wa Klabu ya Simba.

Maamuzi yamefanyika tayari, Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekubali kuachia nafasi yake na klabu inatarajia kuleta CEO mpya kutoka Afrika Kusini.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents