Burudani

Diamond aahidi kulipia BIMA ya afya watoto 300, kugawa mitaji, kutoa Boda boda 20 na kukarabati shule zote za Tandale (+video)

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz ameahidi kulipia BIMA ya Afya kwa watoto 300, kutoa mitaji kwa akina mama 200, kutoa Boda boda 20 na kukarabati Shule zote za msingi zilizopo ndani ya Kata aliyozaliwa ya Tandale.

Related image
Diamond Platnumz

Diamond akiongea kwenye sherehe fupi iliyofanyika Live kupitia Wasafi TV, amesema kuwa siku ya Ijumaa Tarehe 5 Oktoba 2018 atatimiza ahadi hiyo ikiwa na pamoja kuchinja ng’ombe na kusherehekea na watu wake wa Tandale.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents