Burudani

Diamond, Vanessa Mdee, Wizkid na Tiwa Savage waitikisa London kwenye jukwaa la One Africa Music Festival (picha+video)

Jana Juni 02, 2018 usiku jijini London nchini Uingereza kulikuwa na tamasha kumbwa la muziki linalojulikana kama One Africa MusicĀ  Fest, ambapo wasanii kibao kutoka Afrika walitumbuiza kwenye jukwaa hilo.

Orodha ya wasanii waliotumbuiza jana usiku.

Tanzania ilipata bahati kupeleka wasanii wawili Vanessa Mdee na Diamond Platnumz na ukweli ni kwamba ni moja ya wasanii waliofunika kwenye tamasha hilo usiku wa jana.

Wasanii wengine walionogesha tamasha hilo ni Tiwa Savage, Wizkid, Cassper Nyovest, Tekno, Eddy Kenzo, Skales, Sarkodie, Awilo na wengine kibao.

Tazama picha na baadhi ya video za tamasha hilo:

https://youtu.be/6-wUWQI5pMQ

 

https://www.instagram.com/p/BjiDoVnhGgD/?taken-by=oneafrica_musicfest

https://twitter.com/mistamd001/status/1003064424599572480

Vanessa Mdee
Wizkid na Tiwa Savage

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents