Burudani

Dkt. Abbas: Wasanii wekezeni kwenye kazi acheni kiki, serikali haitavumilia maisha hayo (+ Video)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa msimamo kuwa Serikali haitapoteza muda na Wasanii wanaoendeleza kiki badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi zao bora za sanaa.

“Jana nimeletewa habari nyingi sana, wengine wamepelekana polisi, wengine unasikia hivi, hawa wanaotaka kuturudisha nyuma Serikali hii haiwezi kuwaendekeza hao, nawapongeza Wasanii wote wawe wa muziki au filamu na sanaa nyingine wanaoendelea kupambana na kutoa kazi bora zinazoendelea kuiheshimisha sanaa yetu”- Dkt. Abbas

“Nasisitiza hizi ni zama za kazi sio kiki, waambieni hao vijana, wafikishieni ujumbe huu, anayesikia na asikie, hii ni sauti na amri kutoka Serikali Kuu”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents