Burudani

Eneo la kuchimba dawa Vijana wageuza fursa

Eneo la kuchimba dawa lilivyogeuzwa fursa, Spika Tulia waunga mkono

Kama wewe unatembelea mitandao ya kijamii basi bila shika umewahi kukutana na video hii inayoonyesha eneo maarufu kwa jina la Kona ya Mkoa ya Mbeya.

Miaka ya nyuma eneo hilo lilikuwa linatumika kama eneo la mabasi kusimama na kuchimba na abiria dawa ila kwa sasa ni kiwanja cha burudani.

Vijana waliona muonekano wa eneo hilo ni fursa na kuja na tamasha la Kubwa ambalo linafanyika kila mwaka kwa miaka 5 mfululizo.

Wamekuja na tukio kubwa la burudani katika eneo hilo huku akishukuru msaada mkubwa kutoka kwa Spika wa Bunge Dkt.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents