Burudani

EXCLUSIVE: Mchizi Mox ahofia ukubwa wa Diamond na Alikiba, adai unachangia kupunguza ubunifu kwa wasanii wa Bongo Fleva (+video)

Rapper Mchizi Mox mkali hits kama ‘Demu Wangu’ na ‘Chupa Nyingine’ amesema kuwa ukubwa na ushawishi wa wasanii wa muziki kama Diamond, Alikiba na Rich Mavoko unafanya wasanii wengine wawaige jambo ambalo linapunguza ubunifu kwenye muziki wetu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents