Habari

Hapa ni kwenye Viwanja vya Bunge nchini Kenya (Video)

Hapa ni kwenye Viwanja vya Bunge nchini Kenya, Waandamanaji wameigia ndani ya viwanja na kuendelea kuleta fujo.

Waandamanaji wanaishinikiza Serikali ya Kenya kufanyia marekebisho Baadhi ya vipengele kwenye bajeti ya nchi hiyo inayoonyesha kuongezeka mara dufu kodi kwa wananchi.

 

 

Kuagalia Video hii boyeza hapa:

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents