BurudaniVideos

Harmonize aeleza sababu za kukamatwa na Polisi (+ Video)

Baada ya malalamiko kupelekwa Polisi na taarifa kutoka Kenya zikieleza kuwa @harmonize_tz alikamatwa na Polisi Kenya. Hapa akitoa maelezo kuhusu kilichotokea na kwanini aliitwa Polisi.

Pia @harmonize_tz ameeleza kuhusu tuhuma za kumpiga @ericomondi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents